Home
About Huruma
About Huruma’s work
About Tella Mande
Ways to contribute
Contact
Swehili
 

Kuhusu Tella Mande

Tella Mande ni kijiji kidogo, kilichoko kwa kadiri ya kilometa tano hivi nje ya mji wa Moshi. Moshi ni moja kati ya miji inayojulikana sana kiutalii katika eneo la Tanzania. Kwa kuwa uko karibu na mlima Kilimanjaro pamoja na mbuga nzuri za wanyama na hifadhi za Tanzania kama vile Serengeti na Ngorongoro crater

Kutokana na umbali wa kijiji hiki na mji, wakazi wake hawafaidi matunda ya utalii wa eneo hili. Zaidi ya watu wanaoishi mjini. Wanaume na wanawake wa Tella Mande hujishinghulisha sana ili kupata mahitaji yao ya kila siku. Wakati huo wanaume wengi hukimbilia mjini kila siku kujaribu kupata angalau pesa kidogo kwa kazi ya kila siku, wamama hufanya kazi sana katika mashamba yao kulima na kutunza kile jamii yao inahitaji kwa kila siku.

Zaidi ya kukosekana kwa miundo mbinu kwa mfano maji ya mabomba na umeme, ulevi, virusi na Ukimwi, kukosa kazi na kukosekana kwa mfano wa elimu pia kumaanisha kwa watu kuishi maisha wanayoishi. Asilimia 60 ya wakazi wachache wanaoishi Tella Mande wanaishi maisha ya kimasikini. Bali kwa kiasi mashirika yakujitolea ya siyo ya faida yalio katika eneo hili yako Moshi mjini. Wengi wa watu wa Tella Mande walio wahitaji hawana uwezekano wa kufaidi faida na misaada.